Kwetu Iringa
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 355
- 89
Kwa staffs:
1.Mishahara midogo
2.Kazi nyingi ukiringanisha na mshahara
3.Harsh treatment kutoka uongozi wa juu
4.Net salary kuwa chin kwa kulinganisha na vyuo vingine at the same position.
KWA WANACHUO:
1.kucheleweshewa Boom
2.Kusainishwa boom pungu ya 8000 kwa kila mwanafunzi bila ufafanuzi wa makato
3.Boom kupitia kwa mhasibu wa chuo
4.Viongozi wa wanafunzi kufukuzwa katika mgomo uliopita.
NA MENGINE KIBAO ambayo bado naendelea kutafiti hapa Chuoni.ASANten
Wasomi wa Tanzania ni chanzo cha matatizo badala ya kutatua matatizo.
A competent person did not strike, let me advice them to resign and find the place where by their net pay will be high and no harsh treatment