Kashaijabutege
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 2,696
- 740
- Thread starter
-
- #21
ngojea usifiwe kijana,mwizi ajiiti mwizi
Niliwasikia baadhi ya kina mama wakiteta kuwa ukiona mwanaume anaulamba kila wakati na anajipiga vitu vya bei mbaya, basi ujue ni mkware sana. Of course, tetesi hii ikanifanya nikumbuke 'Hillsiders' (like Law Masha, Cresentius Magori, at el) wa UDSM enzi hizo walivyokuwa watanashati na walivyowatafuna 'Hillsisters'. Hata hivyo nikabaki na shaka juu ya tetesi hii, na ndiyo maana nalileta jamvini tulijadili.
Wana JF wanaume watanashati kupindukia mnasemaje?
Wana JF wanawake mlio na boyfriends/waume watanashati kupindukia mnasemaji?
Mh!mtanashati ndo smart ee?.mi napenda kuona guys wakiwa smart,.with this,kwahyo watu wawe rough au?.tabia ni m2 sio vitu.Niliwasikia baadhi ya kina mama wakiteta kuwa ukiona mwanaume anaulamba kila wakati na anajipiga vitu vya bei mbaya, basi ujue ni mkware sana. Of course, tetesi hii ikanifanya nikumbuke 'Hillsiders' (like Law Masha, Cresentius Magori, at el) wa UDSM enzi hizo walivyokuwa watanashati na walivyowatafuna 'Hillsisters'. Hata hivyo nikabaki na shaka juu ya tetesi hii, na ndiyo maana nalileta jamvini tulijadili.
Wana JF wanaume watanashati kupindukia mnasemaje?
Wana JF wanawake mlio na boyfriends/waume watanashati kupindukia mnasemaji?
Uzinzi si sana kwani wengi hua 50 50 halafu ni wabinafsi, wachoyo, huoa katika umri mkubwa sana, huwa si outgoing wanapenda kua home home, hawawezi kuishi na mtu, hata akioa mke hainjoy kwani jamaa hashauriki na anamisimamo yake isobadilishwa na mtu, si wakarim sana wako serious masaa yote. Wengi wao wamesomaaa wakorofii wa bahilii yani wanaume watanashati wengi lazima wawe na tabia zinazofanana na hizi.
FLady...
Hii signature yako nimeipenda sana !.........NEVER TRUST A MAN EVEN A DEAD ONE........! Rule mojawapo ya engagement inasema never trust a person who doesnt trust you, in that scenario namuonea huruma any man anyekuamini
Mh!mtanashati ndo smart ee?.mi napenda kuona guys wakiwa (OVERLY) smart with this,kwahyo watu wawe rough au?.tabia ni m2 sio vitu.
Mh over utanashata kunakuwaga na ???? Na mibwabwa ilivyo mingi cku hz
Hakuna uhusiano. Ina maana mapadri watanashati ni wakware?
ahaha!thank you..sijawahi kuona m2 wa hvo.Tunasema wakiwa na "usmart" unaoelekea ule wa kina mama (overly smart). Sidhani kama wewe utapenda mwanamme anayebadilisha housing za simu ili simu irandane na shati au suruali aliyovaa siku hiyo. We call it overly smart. Smartness is not bad at all.
Niliwasikia baadhi ya kina mama wakiteta kuwa ukiona mwanaume anaulamba kila wakati na anajipiga vitu vya bei mbaya, basi ujue ni mkware sana. Of course, tetesi hii ikanifanya nikumbuke 'Hillsiders' (like Law Masha, Cresentius Magori, at el) wa UDSM enzi hizo walivyokuwa watanashati na walivyowatafuna 'Hillsisters'. Hata hivyo nikabaki na shaka juu ya tetesi hii, na ndiyo maana nalileta jamvini tulijadili.
Wana JF wanaume watanashati kupindukia mnasemaje?
Wana JF wanawake mlio na boyfriends/waume watanashati kupindukia mnasemaji?
Tuko pamoja Mkuu;
Ila baadhi ya Hillsiders baada ya kuja kwenye system ni wachovu sana. nadhani ilikuwa pesa ya "Boom", si unakumbuka "Allowances" zile wakati huo ilikuwa si mikopo.
Nimewaona pia baadhi ya Hill Sisters nao wamechoka. wachache kam kina Prem Kibanga bado mambo yamekubali.
Kuna weza kuwa kuna ukweli, of course hakuna mdada asiyependa mwanaume mtanashati. lakini hii siyo rule.
Kwa dunia ya leo ...hilo si ishu...!!!!mchina ashamwaga pamba kila pembe ya mji...!!!Niliwasikia baadhi ya kina mama wakiteta kuwa ukiona mwanaume anaulamba kila wakati na anajipiga vitu vya bei mbaya, basi ujue ni mkware sana. Of course, tetesi hii ikanifanya nikumbuke 'Hillsiders' (like Law Masha, Cresentius Magori, at el) wa UDSM enzi hizo walivyokuwa watanashati na walivyowatafuna 'Hillsisters'. Hata hivyo nikabaki na shaka juu ya tetesi hii, na ndiyo maana nalileta jamvini tulijadili.
Wana JF wanaume watanashati kupindukia mnasemaje?
Wana JF wanawake mlio na boyfriends/waume watanashati kupindukia mnasemaji?