K Kithuku JF-Expert Member Joined Nov 19, 2006 Posts 1,395 Reaction score 215 Jan 21, 2008 #1 Ndivyo wanavyodai baadhi ya watu, wanadai hakuna aliyeshuhudia, hakuna picha za ajali hiyo, gari haijulikani iliko, na mambo kadha wa kadha. Bofya hapa: http://issamichuzi.blogspot.com/2008/01/mudhihir-m-mudhihir.html#comments
Ndivyo wanavyodai baadhi ya watu, wanadai hakuna aliyeshuhudia, hakuna picha za ajali hiyo, gari haijulikani iliko, na mambo kadha wa kadha. Bofya hapa: http://issamichuzi.blogspot.com/2008/01/mudhihir-m-mudhihir.html#comments
Idimi JF-Expert Member Joined Mar 18, 2007 Posts 15,328 Reaction score 11,192 Jan 21, 2008 #2 Mkuu Kithuku, haya ni marudio! Bubu Msema Ovyo alishaandika speculations hizo 12/12/2007 katika thread hii "http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=7986". Nadhani tuko pamoja
Mkuu Kithuku, haya ni marudio! Bubu Msema Ovyo alishaandika speculations hizo 12/12/2007 katika thread hii "http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=7986". Nadhani tuko pamoja