Atletico Madrid ni chuo cha mpira

kitokololoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
704
Reaction score
818
Torres alipikwa akapikika Akitokea ATLETICO akaenda liver baadae Chelsea mpira ukamuishia kabisa aliporudi ATLETICO akawa mtamu vibaya Mnoooo hii ndyo atletico chuo cha mpira

Kun aguero mnyama nae hyo alipikwa atletico akawa mnyama vby mnoo kwa kufumania nyavuuu mpk sasa anazidi kuwaka lkn alipikwa Atletico.

Diego foran nae alipikwa atletico Akaivaaa mzee wa fauro za Atari aliyetumaliza waafrika world cup Uruguay vs Ghana.

Muone Mnyama Diego Costa

Muone morata & llorent walichowafanya jogoo vishingo wa liver jana.

Ona makipa wao oblak na diegea wote ni mazao ya Atletico hyo ndyo Atletico


Poleni liver kwa kichapo kitakatifuu kutoka kwa hawa mafundiii wa soka.


''Kitokololoo kuku''

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpila-Mpira✔


Wametoa nyota wengi sana,nikama mtibwa bongo,wakikuuza ukichemka milango wazi kurudi tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…