K Konaball JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 2,949 Reaction score 1,940 Jan 18, 2011 #1 nauliza jamani hii timu iliyokuja ndio yenye maana inaonyesha leo wanacheza kwao na Corithians muda wa saa 10:30 za Brazil kwa kuangalia vizuri gonga hapa CA Paranaense - Results, fixtures, squad, statistics, photos, videos and news - Soccerway
nauliza jamani hii timu iliyokuja ndio yenye maana inaonyesha leo wanacheza kwao na Corithians muda wa saa 10:30 za Brazil kwa kuangalia vizuri gonga hapa CA Paranaense - Results, fixtures, squad, statistics, photos, videos and news - Soccerway
U utiyansanga JF-Expert Member Joined May 19, 2010 Posts 213 Reaction score 7 Jan 18, 2011 #2 He makubwa!
NewDawnTz JF-Expert Member Joined Nov 15, 2010 Posts 1,667 Reaction score 362 Jan 18, 2011 #3 Ndo tuseme wizi mwingine au....hawa jamaa kesho wana mechi kwao leo wako bongo?
M Matarese JF-Expert Member Joined Aug 30, 2009 Posts 527 Reaction score 44 Jan 18, 2011 #4 hivi nyinyi kwa akili yenu mlitegema walete timu huku wakati ligi kwao inaendelea? hao wnaokuja ni reserve players, mwenye macho haambiwi tazama, hawa ni wafanya biashara
hivi nyinyi kwa akili yenu mlitegema walete timu huku wakati ligi kwao inaendelea? hao wnaokuja ni reserve players, mwenye macho haambiwi tazama, hawa ni wafanya biashara
olele JF-Expert Member Joined Dec 2, 2010 Posts 1,305 Reaction score 1,572 Jan 18, 2011 #5 Atletico Paranaense ni club yenye timu nyingi pamoja na ya wanawake, sasa yanga wanaweza wakawa wanacheza na mojawapo ya hizo labda hata ya wanawake.
Atletico Paranaense ni club yenye timu nyingi pamoja na ya wanawake, sasa yanga wanaweza wakawa wanacheza na mojawapo ya hizo labda hata ya wanawake.
Polisi JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 2,082 Reaction score 642 Jan 18, 2011 #6 olele said: Atletico Paranaense ni club yenye timu nyingi pamoja na ya wanawake, sasa yanga wanaweza wakawa wanacheza na mojawapo ya hizo labda hata ya wanawake. Click to expand... kinachonishangaza hao lion ambao wamewaleta kwa nini wao hawachezi nao mechi? Ama kweli mjini shule
olele said: Atletico Paranaense ni club yenye timu nyingi pamoja na ya wanawake, sasa yanga wanaweza wakawa wanacheza na mojawapo ya hizo labda hata ya wanawake. Click to expand... kinachonishangaza hao lion ambao wamewaleta kwa nini wao hawachezi nao mechi? Ama kweli mjini shule
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,023 Reaction score 12,811 Jan 18, 2011 #7 Matokeo vipi?
M Mafuluto JF-Expert Member Joined Aug 25, 2009 Posts 1,861 Reaction score 859 Jan 18, 2011 #8 3-2 yanga kachapwa kama kawaida
Ehud JF-Expert Member Joined Feb 12, 2008 Posts 2,685 Reaction score 338 Jan 19, 2011 #9 Yale yale hadi huku kwenye football wana-richmond?
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,741 Jan 19, 2011 #10 wamechakachua....