ATM MACHINE

ogmhillu

Member
Joined
Jul 24, 2017
Posts
87
Reaction score
71
Uliwahi kujiuliza kwa nini ATM machine hutoa kadi kwanza halafu pesa huja baada ya kadi?
Walotengeneza ATM wanajua hulka za binadamu! Kwamba binadamu akipata anachotaka anasepaaaa.... hakumbuki alomwezesha!
Wangapi wangekumbuka kuchukua Kadi kwenye ATM kama pesa ingetoka kwanza?
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uki Ukitaka kujua kuwa ukisemacho ni sahihi. Angalia myu anaulizwa unataka risiti ya muhamala huu na anakubali lakini kwa kuwa pesa inatoka kabla ya risiti anasahau kama aliiomba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…