ATM -Usiwe na wasiwasi chanja kwenye nyufa

Zakumi

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2008
Posts
5,063
Reaction score
2,478
Jamani alikwenda club wanapocheza strips lakini hakawa hatoi tips za kuchomekea kwenye vichup! kwa ubahiri.

Mnenguaji mmoja akamuuliza mbona utoi kitu. Jamaa akajibu sina chenji. Nina ATM card tu.

Dada akamjibu hiyo sio taabu. Mbona mashine tunazo. Dada akachora saba na kumwambia jamaa achanje kadi yake kwenye nyufa mbili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…