ATM za CRDB huku Ukonga hazina hela

ATM za CRDB huku Ukonga hazina hela

Lihove2

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2018
Posts
3,545
Reaction score
6,512
Leo asubuhi naona ATM nyingi huku maeneo ya Ukonga hazina hela. Zingine zimekata network. Au ndiyo mnatatusaidia tusije tukala hela ya ada za watoto ndani ya pasaka.
 
Leo asubuhi naona ATM nyingi huku maeneo ya ukonga hazina hela.zingine zimekata network. Au ndiyo mnatatusaidia tusije tukala hela ya ada za watoto ndani ya pasaka

Mbongo akipata Pesa ukubwani ni Kero.
 
Leo asubuhi naona ATM nyingi huku maeneo ya ukonga hazina hela.zingine zimekata network. Au ndiyo mnatatusaidia tusije tukala hela ya ada za watoto ndani ya pasaka
Dogo ulale utulie Akili ikue. Mtu mzima au mwenye akili hawezi andika "bhana"
 
CRDB ilisha filisika toka Jiwe atoe hela za Serikali kule na kuzihamishia B.O.T na NMB.hata mikopo wanatoa kwa kusua sua.
 
Waambie wahusika sasa Hapa JF ndo NMB au CRDB 😁
 
Sisi Huku Masaki Ambako ni Wilayani Mihela Kibao .....ila Nyie wazee wa Jiji Mko Ukonga hamna hela..yaani maisha haya ndio yanatofautiana hivyo.
 
Mkuuu last weeek jumapili tarehe 28 march atm zote za crdb tabata road zote zilikuwa hazina hela kuanzia tabata magengeni.. sheli... kinyerez
 
Nadhani janja yao ni kutupeleka kule kwenye wakala wao(Fahari huduma) ili tukapigwe na mi-charge yao ya ajabu ajabu.
 
Leo asubuhi naona ATM nyingi huku maeneo ya Ukonga hazina hela. Zingine zimekata network. Au ndiyo mnatatusaidia tusije tukala hela ya ada za watoto ndani ya pasaka.
Wikiendi iliyopita ATM za CRDB Mbagala Rangitatu hazikuwa na pesa,pesa ziliwekwa Jumatatu kwenye saa tano asubuhi baada ya sisi kulalamika sana.
 
Back
Top Bottom