Lole Gwakisa
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 4,768
- 2,361
Usiku mmoja mlevi ambaye akili ilikuwa bado 50/50 aliona watu wakipiga foleni mbele ya mashine na kubonyeza bonyeza halafu wanapata pesa.
Yeye akijua leo anabahati ya mtende, baada ya kuondoka mtu wa mwisho naye akabonyeza bonyeza wee na mwishowe akaiuliza
"Aisee unaweza kunikopesha elfu hamsini,nitarudisha keshokutwa"
Mashine ATM: kimya
Mlevi: "tafadhali nisaidie bwana, najua pesa unazo, wengine umewapa sasa hivi"
Mashine ATM: kimya
Mlevi: "noma sana wewe jamaa uliye huko ndani"