Atriums hotel at sinza

Atriums hotel at sinza

emilwayne

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2011
Posts
265
Reaction score
19
Anaejuwa bei ya chumba ya hiyo hotel plz inform me
 
tsh. Tsh 25,000 singo na Tsh. 35,000 dabo.
Ila pako pafinyu sana na siku hizi pana kukurukakara nyingi

nakushauri Landmark sinza, bado ina utulivu ila singo 45,ooo na dabo jiongeze
ila wasikupe floor ya chini vyoo vibovu.
 
Mkuu inaelekea unafanya safari nyingi za 'kikazi' maeneo hayo.
 
he he he, inahu?!
Nyumba za wageni zishaisha zimebaki za wenyeji

@MTM, ndo maana nimemwambia pana kukurukakara sana siku hizi mara miss kiu mara miss uwazi mradi vurugu tu

Mkuu inaelekea unafanya safari nyingi za 'kikazi' maeneo hayo.
 
Ukulima guest house ipo kona bar, bei ni majadiliano
 
Du,b4 ha2jakushauri twambie unalengo gan hko la ziada?
 
ukulima guest house ipo kona bar, bei ni majadiliano

hahahaaaa
hii ni zile unaingia
na nguo zako
unatoka uchi
komeo ni msumari
uspoangalia
unapigwa kanjunja
wanaiba kila kitu
bora ulale kwenye viti
vya bar kwakweli
 
aisee kazi ipo....chabo, kelele, mishemishe, panafaa kweli kupumzika?
 
Kongosho, utembelee machi machi guest house ile ya mwembe jini, makaburini. Wameweka AC afu kile chumba cha mwisho kulia wametengeneza dirisha ila bado kile cha kushoto kinapigwa jua, usiweke handibag dirishani itababuka.
 
Hiyo MAchi Machi huwa naiona sehemu lakini skumbuki ni wapi.
 
Back
Top Bottom