simplemind JF-Expert Member Joined Apr 10, 2009 Posts 16,418 Reaction score 9,209 Jul 13, 2011 #1 Kwa madkatari wa meno;naomba maelezo kuhusu mbinu mpya inayosifika sana ya kungoa meno itwayo Ogram technique.Je mbinu hii inatumika hapa Tanzania,faida na hasara zake.
Kwa madkatari wa meno;naomba maelezo kuhusu mbinu mpya inayosifika sana ya kungoa meno itwayo Ogram technique.Je mbinu hii inatumika hapa Tanzania,faida na hasara zake.