DAR si LAMU
JF-Expert Member
- Mar 31, 2007
- 2,928
- 551
Msaada wa nini? wa mtu wa kuuliza "tatizo ni nini? Yaani aje Mmarekani mzungu aulize hilo swali? Inawezekana kweli akija mzungu wa kuuliza hilo swali majibu yakapatikana kwa haraka sana....
..ndio tanzania ilipofikia hapo, haina mwenyewe.
Hivi inakuwaje mtu unakubaliwa kusoma IFM/ UDSM/ MZUMBE etc halafu unaacha kumaliza na masomo hapo unakubali kwenda Urusi?
..si ni mambo ya mamtoni!
..mtu aking'ang'ania bongo majuu atafika lini?
Kama suala ni kupanda ndege na kwenda ngambo; Hawa wanafunzi sasa inawangarimu sana. Natumai watarudi nyumbani wakiwa bado na moyo wa kutaka kusoma...
..kusoma watasoma tu, iwe hapa au huko. they don't have much choice, do they?
..wakati mwingine hujiuliza, hivi hawa viongozi wetu wahusika, hawana watoto wanaosoma?
..maana, chukulia kwamba kibaya kinachomkuta mwana wa mwenzio kimkute na wako. mathalan, kubakwa.
Watoto wao wanasona UK na USA...Urusi wakatafute nini...tena kama hapa UK baadhi yao wakija hawakodishi hata nyumba kama wengine wanafikia nyumba za familia ambazo baba/mama alishainunua miaka ya nyuma.
LOL, Waafrika wamekukosea nini? Hahaha
Hivi inakuwaje mtu unakubaliwa kusoma IFM/ UDSM/ MZUMBE etc halafu unaacha kumaliza na masomo hapo unakubali kwenda Urusi?
yeboyebo na wewew!!! Mtu anaenda kupanda ndege kwa mara ya kwanza unategemea atafanya nini? Unajua wengi wanaamini nje ndio kwenyewe??
mosi, inawaletea heshima kwa familia zao, eti mtoto wa fulani yuko majuu (I really do not get this)
pili, inamjengea sifa binafsi katika rika lake (I will take this considering it takes ages for some to get out of adolesence)
tatu, hiyo ndege, mwe!! ndege jamani??
nne, majuu ndio mambo yote (tokea lini mtu kwao??)
Tatizo lenu mnafanyiwa hivyo lakini wakija keshokutwa na vijokofia mnakuwa wa kwanza kuwasupport, wanawaona mazoba ndio maana
si ndo nyie nasikia mmefungua Tawi la CCM? CCM=Serikali vipi sasa?
Poleni lakini komaeni ndio maisha ya Tanzania na watanzania wake, siye wenzenu tushajiamulia kuwasusia hamna noma
Vilevile tunahitaji viatu vya kujikinga na baridi, pamoja na vyombo vya kutuwezesha kujipikia wenyewe kwani wanafunzi walio wengi huwalazimu kujipikia wenyewe kutokana na ukweli kuwa, kiwango cha fedha za kujikimu kinachotolewa na serikali yetu humwezesha tu mwanafunzi kujipikia mwenyewe kwani ukila katika migahawa ,kiasi hicho cha fedha hakiwezi kukufikisha hata nusu ya mwezi.
Maybe you need to find a part-time job or something, you know...
Mwezi wa Saba ulifanyika uchaguzi mkuu wa Serikali ya wanafunzi (T.S.U) chuoni Lumumba ambao ulimweka madarakani Rais aliyeandika huu waraka. Baadhi ya watu ambao ni vinara wakubwa wa siasa za TSU hawakufanikiwa kupata nafasi baada ya kuonekana kuwa wanagombea nafasi hizo ili kujitengenezea nafasi ya kuwa karibu na Ubalozi kwa maslahi yao binafsi na pia siyo watendaji wazuri kwani wote walishawahi kushinikizwa kuachia ngazikwa vipindi tofauti kutokana na tabia zao za kujikomba Ubalozini ambayo ilipelekea ufanisi mbovu katika kushughulikia matatizo yanayowakabili wanafunzi (Mojawapo ni hili lililozungumziwa hapa) na pia Uchu wa Madaraka.
Hivyo basi, baada ya vinara hao kushindwa kung'ara katika uchaguzi ule waliamua kuibuka na namna nyingine ya 'Nitoke vipi' kwa kuamua kuanzisha tawi hilo ili kujihakikishia kuwa lengo lao la kuwa karibu na Balozi mpya Bw. Jaka Mwambi ambaye ni kiongozi mkubwa kwenye siasa za CCM linafanikiwa.
Hao jamaa kwa kudhihirisha kuwa ni wanafki na wana uchu zaidi wa kujulikana/madaraka, mwaka jana walikuwa mstari wa mbele kabisa kumpokea Bwana Peter Mziray wa PPT-Maendeleo (ambaye alikuja urusi kwa shughuli binafsi na za kichama pamoja na kutafuta wadhamini) na kuzunguka naye kumsadia kutangaza chama chake kwa wanafunzi watanzania chuoni Lumumba. Kichekesho zaidi ni kuwa hawa jamaa wanamiliki kadi za Uanachama wa PPT-Maendeleo walizopewa na Mziray!
Siyo wanafunzi wote chuoni Lumumba wanaounga mkono kuanzishwa kwa hili Tawi na wale ambao hawafungamani na hilo wazo wanahofia mustakabali wao pale Mambo ya Chama yatakapokuwa yanatumika katika kutatua matatizo yatakayokuwa yanawakabili huko mbeleni.
Mungu Ibariki Tanzania.
Sasa unamaana walianzisha tawi la CCM au la PPT-Maendeleo?
yeboyebo na wewew!!! Mtu anaenda kupanda ndege kwa mara ya kwanza unategemea atafanya nini? Unajua wengi wanaamini nje ndio kwenyewe??
mosi, inawaletea heshima kwa familia zao, eti mtoto wa fulani yuko majuu (I really do not get this)
pili, inamjengea sifa binafsi katika rika lake (I will take this considering it takes ages for some to get out of adolesence)
tatu, hiyo ndege, mwe!! ndege jamani??
nne, majuu ndio mambo yote (tokea lini mtu kwao??)
......Mkuu,not only stupidity.... Uknow Its Easy to deal with someone who's stupid OR somebody who's Ignorant,BUT when the two Factors(Stupidity + Ignorance)are common in a Person, then it's almost impossible to deal With.Hawajanikosea kitu...it's just that they are stuck on stupid.....