Nina mdogo wangu ana mabaka kwenye ngozi(ngozi inakuwa nyeupe kama albino) ambayo ukiyaangalia kwa haraka unaweza sema ana ukoma ila tofauti ni kwamba hapati maumimivu wala muwasho na midomo imekuwa na rangi nyekundu ya kupitilza.aliwahi kwenda hospitali akaambiwa kuwa hakuna tiba ila huwa yanapotea yenyewe.lakini ni muda mrefu umepita haoni dalili ya kupotea.na kama ilivyo kawaida hata utaalam huzidiana mimi nikaona nije na tatizo hili hapa jukwaani ili kama kuna uwezekano wa kumsaidia tuone jinsi ya kufanya.
[URL=http://www.jam