Natambua kwamba mashahidi wasiopungua wawili wanatakiwa kushuhudia saini ya mhusia kwenye wosia. Pia mashahidi wasiwe wanufaika na mashahidi watoke kwenye ukoo na nje ya ukoo. Nimeona case reports ambazo wosia zimebatilishwa kwa kukosa shahidi kutoka kwenye ukoo. Kuna mtu mwenye case ya wosia uliobatlishwa kwa kukosa shahidi toka nje ya ukoo? Au ushauri ukoje kwa hili kama shahidi wawili wote wametoka kwenye ukoo na siyo wanufaika kwa customary law?
Sent using
Jamii Forums mobile app