Atwoli: DP Ruto should behave towards Uhuru like VP of Tanzania does towards JPM

Atwoli: DP Ruto should behave towards Uhuru like VP of Tanzania does towards JPM



Ni vema Atwol kushuhulika na welfare za wafanyakazi badala ya kuhangaika na Makamu wa Rais wa Kenya au Tanzania! So many well educated people in Kenya are jobless, the Pandemic has rendered millions jobless and yet their leader honorable Atwoli all the time is politicking, talking of Hon Ruto, Ruto, Ruto!! Wafanyakazi hali zao ni mbaya mno, tunasistiza afuate job description yake! Period. Ingekuwa kwa faida kubwa kama angalijitahidi kuunganisha “The Milembe” nation kwani kila kipindi cha chaguzi linakuwa kundi la kusindikiza vyama vingine!
 
Ni vema Atwol kushuhulika na welfare za wafanyakazi badala ya kuhangaika na Makamu wa Rais wa Kenya au Tanzania! So many well educated people in Kenya are jobless, the Pandemic has rendered millions jobless and yet their leader honorable Atwoli all the time is politicking, talking of Hon Ruto, Ruto, Ruto!! Wafanyakazi hali zao ni mbaya mno, tunasistiza afuate job description yake! Period. Ingekuwa kwa faida kubwa kama angalijitahidi kuunganisha “The Milembe” nation kwani kala kipindi cha chaguzi linakuwa kundi la kusindikiza vyama vingine!
Bwanabwana acha utani waliapa kuwatumikia wananchi na si kuacha kutekeleza ahadi zao kama sera za Jubilee zinavyosema na kuanza kujenga team ya campaign aidha ajiuzulu ama atii majukumu yake kama naibu wa Rais! Acha kutetea ujinga unaosababisha paralysis kwenye serikali yao ya Jubilee!
 
Back
Top Bottom