Ni vema Atwol kushuhulika na welfare za wafanyakazi badala ya kuhangaika na Makamu wa Rais wa Kenya au Tanzania! So many well educated people in Kenya are jobless, the Pandemic has rendered millions jobless and yet their leader honorable Atwoli all the time is politicking, talking of Hon Ruto, Ruto, Ruto!! Wafanyakazi hali zao ni mbaya mno, tunasistiza afuate job description yake! Period. Ingekuwa kwa faida kubwa kama angalijitahidi kuunganisha “The Milembe” nation kwani kala kipindi cha chaguzi linakuwa kundi la kusindikiza vyama vingine!