Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Kwema?
Nashindwa kuelewa huu Usajili wa timu yangu ya Simba Kwa Sasa. Performance ya timu kwa msimu ulioisha haikua nzuri, na ni ishara kua kulikua na mapengo kadhaa.
Na kawaida mapengo ya timu yoyote huzibwa wakati wa Usajili. Sasa Kwa Usajili huu wa Simba sidhani kama kweli hesabu zao zinaonyesha kulikuaena pengo la mtu kama Kapama au Kyombo. Yaan Kyombo ana tofauti Gani na Kibu Dennis labda?
Inawezekana kabisa kwa kilichotokea msimu ulioisha basi "Boss Kubwa" amesusa kimtindo ndio maana wanachukuliwa average Players kama kutimiza wajibu tu wa kusajili ioneakane nao wamesajili.
Kwa timu inayojiandaa dhidi ya kurudisha mataji yake pamoja na Mechi za kimataifa basi ingekua imefanya Usajili wa maana mpaka Sasa kitu ambacho hakionekani Kwa Simba ya Sasa.
Mtu anaweza kusema dirisha la Usajili bado kufungwa, lakini hata huko wanakopatikana Wachezaji nako watu wanawawahi wale wazuri. Ukichelewa ndo unakuja kuletewa magarasa.