ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Si niwe tu mtu wa MUNGU serious niwe naongea mambo ya MUNGU ili niombe neema nipate uwezo wa kutoa maono Kisha nyie member muwe mnakuja mnanitembelea kuja kunisikiliza maarifa ya Siri au nikija kwenu nakula bure n.k halafu Niko serious maana nimegundua yesu Ni biashara kubwa ambayo inaweza kukupa pesa ila Cha msingi ukipata pesa usaidie watu wewe uishi maisha ya kawaida sana na Mimi hilo nalolitaka.kwanza maisha mazuri Hapa Duniani na Kisha ahadi ya uzima na milele kwetu sisi tuliitao jina la bwana na wenye tumaini.
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.