Aua mkewe kwa kumtusi ni bwege kitandani

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
MWANAUME alishtakiwa jana kwa kumuua mkewe alipomtusi kwamba hajiwezi chumbani.

Stephen Nyangeri Mauti,mwenye umri wa miaka 25 alikabiliwa na shtaka la kumuua mkewe Faith Nyatich. Wapenzi hao walioana Agosti mwaka huu.

Baada ya miezi miwili tayari ndoa yao ilikuwa imegauka kuwa chungu ndipo Faith akatorokea Kiserian kuishi na mwanaume mwingine. Upande wa mashtaka umefichua Faith alikuwa ametoroka na kuanza kuishi na mwanaume mwingine katika mtaa wa Kiserian, kaunti ya Kajiado.

Ili kumfanya arudi Nyangeri alimpigia Faith (marehemu) simu na kumsihi arudi nyumbani kwa vile alikuwa hajihisi vizuri. “Mshtakiwa alimpigia simu Faith na kumtaka arudi kumsaidia kwa vile alikuwa sio buheri wa afya,” kiongozi wa mashtaka James Gachoka alimweleza hakimu mwandamizi Bernard Ochoi.

Aliporudi, Faith alimpata mumewe katika makazi yao mtaani Kangemi. Alimpikia maankuli ya mchana siku hiyo. Baada ya kupiga gumzo , wawili hao walitoka kwenda kutembea katika soko la Kangemi kununua vyakula na bidhaa nyinginezo.

Walirejea katika makazi yao. Faith alipika chakula cha jioni.Walikula kisha wakakesha pamoja. Asubuhi ya Oktoba 3, 2021, hakimu alielezwa Faith aliandaa kiamsha kinywa.Walipokuwa wanachangamkia brekifasti wawili walijadiliana mambo mbali mbali.

Ni wakati huo , Nyangeri, alipasua birika na kumsihi mkewe Faith, asitoroke tena kuishi na mwanaume mwingine kama alivyokua amefanya hapo awali. Mahakama ilifahamishwa ,Faith alimfokea na kumkejeli Nyangeri na kumtusi, “wewe hujiwezi kitandani. Wewe ni bwege tu ndio maana nilikutoroka.”

Wimbi la hasira lilimkumba,Nyangeri na mara moja akanyanyuka kutoka kitini na kumkaba koo Faith. Faith alipiga duru kisha mshtakiwa akamfunika mdomo kwa kiganja cha mkono wake wa kulia. Faith alinyamaza na kulegea.

Mshtakiwa alidhani Faith amenyamaza lakini akaona ameanza kufifia.Aliwaita majirani kumsaidia kumpeleka hospitali. “Madaktari katika zahanati ya Kangemi walimweleza Nyangeri mkewe amekata Kamba tayari,” mahakama ilifahamishwa.

Watu waliokuwa wamemsaidia Nyangeri kumpeleka Faith hospitali ndio walimshika kisha wakaita polisi. Alikamatwa na kufungiwa. Bw Ochoi aliamuru mshtakiwa apelekwe katika hospitali ya kutibu wazimu kabla ya hukumu kupitishwa.

Mshtakiwa atarudishwa kortini Novemba 22,2021.Wawili hao walianza kuishi kama mke na mume Agosti 2021.Nyangeri alikuwa akifanya kazi Nyeri kisha akarudi Nairobi.

Alipotorokea Kiserian,Faith alikuwa amemdanganya Nyangeri alikuwa amesafiri kumsalimia binamuye kisha aliyekuwa akiishi Kiseriani na hatimaye akasafiri hadi mashambani.

Nyangeri alimwuliza nduguye marehemu na kufahamishwa kwamba hawana mtu wa familia yao anayeishi Kiserian. Ni wakati huo aligudua mkewe alikuwa anamcheza.
 
Sasa kama jina lake ni Mauti unategemea nini?
 
Nimependa maneno yaliyotumika kwenye hiyo habari, kuhusu kuuana watajijua wenyewe?
 
Faith alipiga nduru ila wapi....
 
Wakenya bhana

Amekata kamba = amefariki
Hospital ya kutibu wazimu = kutibu akili
Kupasua Birika = kuongea ukweli
Kupiga gumzo = kupiga umbea au story
Mkewe anamcheza = Anamdanganya
 
Back
Top Bottom