Auawa, akatwa korodani na koromeo na watu wasiojulikana mkoani Mwanza wilaya ya Sengerema

Mganga wa kweli ni camera za usalama kila kona ya nchi
 
Ukibobea kutegemea mambo ya ushirikina kujipatia kipato ni hatari sana. Akili yote inakuwa lemavu(in short unakuwa taahira fulani hivi).
Unakuwa una pesa lakini mchafumchafu, bosi lakini rafurafu, unataka uongee mwenyewe wakati wote, kwenye vikao wewe ndio mwongeaji, mtu akitaka kuchangia hoja unamkatiza kabla hajamaliza pointi zake, nk.
Ni hatari sana, mwisho wake in mauti!
 
Biashara ya viungo vya wanadamu imeshamiri, dola ifanye hima ikomeshe hii mitandao tutakwisha - hasa mikoa ya kanda ya ziwa.
Kama kwa kafara hapo labda lakini kama ni kwa ajili ya kupandikiza kwa binadamu mwingine sidhani kama viungo vinanyofolewa hivyo.
 
Jina hajajulikana! Halafu amezikwa kwao Muleba kamachumu!! Duuh
 
Biashara ya viungo vya wanadamu imeshamiri, dola ifanye hima ikomeshe hii mitandao tutakwisha - hasa mikoa ya kanda ya ziwa.
Msukuma atakuwa kabadili biashara,ilikuwa albino sasa hivi ashua.
 
Kwanini hi mikoa yenye wakristo aslimia kubwa, mahuaji yanakuwa wengi Sana,tofauti na mikoa ya pwani? au yenye asilimia kubwa ya Waislamu? Wakati siku zote tunaambiwa Waislamu Ni wakorofi sana na Wana roho chafu
 
Kwanini hi mikoa yenye wakristo aslimia kubwa, mahuaji yanakuwa wengi Sana,tofauti na mikoa ya pwani? au yenye asilimia kubwa ya Waislamu? Wakati siku zote tunaambiwa Waislamu Ni wakorofi sana na Wana roho chafu!

Tunakwama wapi wakristo
 
Mtu huyo aligundulika kuwa ameuawa, kwa kunyongwa na kamba ngumu iliyofungwa shingoni kisha kwenye usukani wa gari lake pamoja na mikononi.
Mmeona wengine wanavyonyongwa sio kama yule police uchwara aliyejinyonga kwa tambara/dekio
 
Wengi wao ni wavuvi na wachimbaji madini ndiyo wanafanyaga huo upuuzi
We,wwewe, we we wewe

Wewe. Acha kutusingizia kabisa. Sisi tunavuna bila kupanda. Alipanda mungu hatuhitaji mapumbu kupata samaki. Nyavu na ndoano zinatosha
 
Kwanini hi mikoa yenye wakristo aslimia kubwa, mahuaji yanakuwa wengi Sana,tofauti na mikoa ya pwani? au yenye asilimia kubwa ya Waislamu? Wakati siku zote tunaambiwa Waislamu Ni wakorofi sana na Wana roho chafu!

Tunakwama wapi wakristo
Uislam unaamini duniani tunapita maisha yetu yako akhera. Kuna Wakristu wanaamini hivyo pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…