Auawa, akatwa korodani na koromeo na watu wasiojulikana mkoani Mwanza wilaya ya Sengerema

Humu naona lawama za Wakaskazini na Wakanda ya ziwa dhidi ya Awamu ya sita......tuache imani za kishirikina na uasherati/uzinzi. Tabia au mienendo mengine ni hatarishi kwetu. R.I.P dereva taxi
 
Kwanini hi mikoa yenye wakristo aslimia kubwa, mahuaji yanakuwa wengi Sana,tofauti na mikoa ya pwani? au yenye asilimia kubwa ya Waislamu? Wakati siku zote tunaambiwa Waislamu Ni wakorofi sana na Wana roho chafu!

Tunakwama wapi wakristo
Kanda maalum iko singida au mbeya???
 
Siku moja nilikua natoka Kahama - Masumbwe( kwa wanaopafahamu).Nikapata private .Kufika sehemu flani wakaingia jamaa wawili wakaniweka mtu Kati .Mmoja alikua na kamba ya Manila.Machale yakanicheza nikawaambia nishusheni Sina hela jamaa wakakomaa wakadai watanipeleka bure.Kosa walilofanya ni kusimama kwa matrafiki kelele nilizopiga wao wenyewe walinishusha.Jioni barabara hiyo hiyo Kuna mtu alikutwa amenyongwa.Sasa sijui lilikua wenge au siku ilikua haijafika.Yote kwa yote apumzike mahali pema peponi dereva.
 
 
Wauaji washatiwa mbaroni, sababu ya kuua ni kutaka kupora gari...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…