Tetesi: Auawa kwa kudaiwa deni la kubanwa mbwa

Hewa mkaa

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2012
Posts
742
Reaction score
377
Huko Karagwe Kijiji cha Ommageyo kijana mmoja aitwaye Jackob Anacret amemuua jirani yake anayeitwa Beitwa kwa kumchoma kisu!! Inasemekana ugomvi ulianza wakati marehemu alipohisiwa kutaka kumdhulumu Anacret pesa Tsh7000 ambazo waliuziana mbwa.

* Picha ya marehemu imeondolewa
 
Dah.... uhai wa binadamu hauna dhamani teni, hili tukio halina tofauti na kinacho endelea huko Syria
 
Huko Karagwe Kijiji cha Ommageyo kijana mmoja aitwaye Jackob Anacret amemuua jirani yake anayeitwa Beitwa kwa kumchoma kisu!! Inasemekana ugomvi ulianza wakati marehemu alipohisiwa kutaka kumdhulumu Anacret pesa Tsh7000 ambazo waliuziana mbwa.
Ndio hivyo tena!
Wengine tunatakiwa kujenga viwanda.
 
Wapoje! ndio ujanadume, sio mtaa unafungwa na panya road kuna wanaume hapo? Dar buana.
[emoji23] [emoji23] Hii battle ni kali sana aisee...
 
Dah.... uhai wa binadamu hauna dhamani teni, hili tukio halina tofauti na kinacho endelea huko Syria
Yaani inasikitisha sana. Si angechukua mbwa wake kama alihisi hatalipwa? Au mbwa alishaliwa labda.
 
Back
Top Bottom