Ndio hivyo tena!Huko Karagwe Kijiji cha Ommageyo kijana mmoja aitwaye Jackob Anacret amemuua jirani yake anayeitwa Beitwa kwa kumchoma kisu!! Inasemekana ugomvi ulianza wakati marehemu alipohisiwa kutaka kumdhulumu Anacret pesa Tsh7000 ambazo waliuziana mbwa.
Wapoje! ndio ujanadume, sio mtaa unafungwa na panya road kuna wanaume hapo? Dar buana.
[emoji23] [emoji23] Hii battle ni kali sana aisee...Wapoje! ndio ujanadume, sio mtaa unafungwa na panya road kuna wanaume hapo? Dar buana.
Yaani inasikitisha sana. Si angechukua mbwa wake kama alihisi hatalipwa? Au mbwa alishaliwa labda.Dah.... uhai wa binadamu hauna dhamani teni, hili tukio halina tofauti na kinacho endelea huko Syria
Dah.... uhai wa binadamu hauna dhamani teni, hili tukio halina tofauti na kinacho endelea huko Syria