G
Hapo hakuna cha kobazi , wamatumbi tuna shida tu, hata makristo yanaweza shinda njaa yafe yaende mbinguni 🚮Kobazi🚮🚮🚮
Tatizo nikukosekana kwa elimu. Elimu ndio ukombozi wa hawa jaamaa zetuMwanamke mmoja ameuawa kwa kuchomwa moto na kundi la watu katika jimbo la Niger Kaskazini mwa Nigeria baada ya kutuhumiwa kumkufuru Mtume Muhammad (S.A.W).
Polisi walilaani mauaji ya mwanamke huyo aliyetambuliwa katika vyombo vya habari vya ndani kama mchuuzi wa chakula anayeitwa Amaye .
Polisi wamesema kuwa uchunguzi unaendelea ili kuwakamata na kuwafungulia mashtaka wahusika.
Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International lilisema kuwa kufuru mara nyingi hutumiwa kutatua matokeo ya kibinafsi kaskazini mwa Nigeria.
Mnamo 2022, mwanafunzi Deborah Samuel alipigwa na kuchomwa moto akiwa hai katika jimbo la Sokoto baada ya kushtakiwa kwa kutoa maoni ya kufuru.
View attachment 3461637
Binadamu halisi anapoteza maisha kwa madai ya kumkufuru muhusika wa hadithi za kusadikika ambaye huenda hata hakuwahi kupata kutokea juu ya sura ya nchi.Mwanamke mmoja ameuawa kwa kuchomwa moto na kundi la watu katika jimbo la Niger Kaskazini mwa Nigeria baada ya kutuhumiwa kumkufuru Mtume Muhammad (S.A.W).
Polisi walilaani mauaji ya mwanamke huyo aliyetambuliwa katika vyombo vya habari vya ndani kama mchuuzi wa chakula anayeitwa Amaye .
Polisi wamesema kuwa uchunguzi unaendelea ili kuwakamata na kuwafungulia mashtaka wahusika.
Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International lilisema kuwa kufuru mara nyingi hutumiwa kutatua matokeo ya kibinafsi kaskazini mwa Nigeria.
Mnamo 2022, mwanafunzi Deborah Samuel alipigwa na kuchomwa moto akiwa hai katika jimbo la Sokoto baada ya kushtakiwa kwa kutoa maoni ya kufuru.
View attachment 3461637
Nimejaribu kupitia habari iyo kwa uchacheHapo hakuna cha kobazi , wamatumbi tuna shida tu, hata makristo yanaweza shinda njaa yafe yaende mbinguni 🚮
KumbeNimejaribu kupitia habari iyo kwa uchache
Kumbe ulikuwa utani wa mama lishe na mteja wake kahuni ka mtaa
Akawa kijana anachombeza kiutani mshangazi ili akikubali Dogo atimize sunna ya mtume na bi khadija.!
Mshangazi ukajibu ulivyojibu wadau wa pembeni ndio wakawa hawajaridhishwa na majibu aliyojibiwa Dogo na mshangazi, balaa likaanzia hapo
Kabisa mkuu tatizo ni umatumbi wetu mambo km aya nadra sana uko kwengine sisi Weusi sijui tumemkosea nini hata Mungu mwenyewe.Hapo hakuna cha kobazi , wamatumbi tuna shida tu, hata makristo yanaweza shinda njaa yafe yaende mbinguni 🚮
Hakuna mijitu mijinga kama miafrika unamuua mwafrika mwenzako kisa hadithi ulizosoma.kuhusu mwarabu wa kale ambaye alishafutika duniani na alishakufa siku nyingiMwanamke mmoja ameuawa kwa kuchomwa moto na kundi la watu katika jimbo la Niger Kaskazini mwa Nigeria baada ya kutuhumiwa kumkufuru Mtume Muhammad (S.A.W).
Polisi walilaani mauaji ya mwanamke huyo aliyetambuliwa katika vyombo vya habari vya ndani kama mchuuzi wa chakula anayeitwa Amaye .
Polisi wamesema kuwa uchunguzi unaendelea ili kuwakamata na kuwafungulia mashtaka wahusika.
Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International lilisema kuwa kufuru mara nyingi hutumiwa kutatua matokeo ya kibinafsi kaskazini mwa Nigeria.
Mnamo 2022, mwanafunzi Deborah Samuel alipigwa na kuchomwa moto akiwa hai katika jimbo la Sokoto baada ya kushtakiwa kwa kutoa maoni ya kufuru.
View attachment 3461637
Nguzo za uislamu ni 3Mwanamke mmoja ameuawa kwa kuchomwa moto na kundi la watu katika jimbo la Niger Kaskazini mwa Nigeria baada ya kutuhumiwa kumkufuru Mtume Muhammad (S.A.W).
Polisi walilaani mauaji ya mwanamke huyo aliyetambuliwa katika vyombo vya habari vya ndani kama mchuuzi wa chakula anayeitwa Amaye .
Polisi wamesema kuwa uchunguzi unaendelea ili kuwakamata na kuwafungulia mashtaka wahusika.
Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International lilisema kuwa kufuru mara nyingi hutumiwa kutatua matokeo ya kibinafsi kaskazini mwa Nigeria.
Mnamo 2022, mwanafunzi Deborah Samuel alipigwa na kuchomwa moto akiwa hai katika jimbo la Sokoto baada ya kushtakiwa kwa kutoa maoni ya kufuru.
View attachment 3461637
Ukiendelea na kejeli lazima upate utakacho ,endelea kujificha maana ni muoga ..Ila kwa yeyote atakayeleta kejeli kwa wengine apigwe tu ..Kama huamini tuliza mdomo wako .Nguzo za uislamu ni 3
1)chuki
2)upumbavu
3)unafiki