Waislam ukiwachekea watakushika hadi matako ...mimi sicheki na wapumbavu hata siku mojaUkiendelea na kejeli lazima upate utakacho ,endelea kujificha maana ni muoga ..Ila kwa yeyote atakayeleta kejeli kwa wengine apigwe tu ..Kama huamini tuliza mdomo wako .
Sisi wamatumbi , ni viazi wa milele.
Ukiendelea na kejeli lazima upate utakacho ,endelea kujificha maana ni muoga ..Ila kwa yeyote atakayeleta kejeli kwa wengine apigwe tu ..Kama huamini tuliza mdomo wako .
Huhifahamu Dini ya Kiislamu. Huifahamu Quran. Wasioamini wameamriwa kukatwa kichwa popote walipo.Africa hatujawahi kujielewa hata siku moja. Dini ya kiislam ukiisoma vizuri hakuna mahali inakwambia umuuwe mwenzako au umdhuru kwa njia yoyote ile eti amekufuru au ameenda kinyume na maamrisho ya Allah. Unatakiwa kumnasihi,kumpa mawaidha na kumuelekeza ili umjenge kiimani aone kwa kuna Mungu aliemuumba. Matatizo ya kuuana Africa sio kwenye dini tu ni mambo mengi sana mfano makabila,siasa,mali na mambo mengne.
Africa hatujawahi kujielewa hata siku moja. Dini ya kiislam ukiisoma vizuri hakuna mahali inakwambia umuuwe mwenzako au umdhuru kwa njia yoyote ile eti amekufuru au ameenda kinyume na maamrisho ya Allah. Unatakiwa kumnasihi,kumpa mawaidha na kumuelekeza ili umjenge kiimani aone kwa kuna Mungu aliemuumba. Matatizo ya kuuana Africa sio kwenye dini tu ni mambo mengi sana mfano makabila,siasa,mali na mambo mengne.
Upumbavu Wakristo no 1 imeshinda njaaa pale kilifi Kenya imekufa kibao zaid ya 300 eti yakumuone Yesuu mbaya Zaid mchungaji mwenyewe kawashindisha !!Nguzo za uislamu ni 3
1)chuki
2)upumbavu
3)unafiki
Mambo ya imani ni hisia za watu hivyo usicheze na hisia za watu.Mwanamke mmoja ameuawa kwa kuchomwa moto na kundi la watu katika jimbo la Niger Kaskazini mwa Nigeria baada ya kutuhumiwa kumkufuru Mtume Muhammad (S.A.W).
Polisi walilaani mauaji ya mwanamke huyo aliyetambuliwa katika vyombo vya habari vya ndani kama mchuuzi wa chakula anayeitwa Amaye .
Polisi wamesema kuwa uchunguzi unaendelea ili kuwakamata na kuwafungulia mashtaka wahusika.
Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International lilisema kuwa kufuru mara nyingi hutumiwa kutatua matokeo ya kibinafsi kaskazini mwa Nigeria.
Mnamo 2022, mwanafunzi Deborah Samuel alipigwa na kuchomwa moto akiwa hai katika jimbo la Sokoto baada ya kushtakiwa kwa kutoa maoni ya kufuru.
View attachment 3461637
Na makenzie aliwauwa kweli kweliHapo hakuna cha kobazi , wamatumbi tuna shida tu, hata makristo yanaweza shinda njaa yafe yaende mbinguni 🚮
Hao walofanya ivo hawajatenda haki ata kidogo mna adhabu ya moto ni ya muumba peke ake ata panya ukimuua usimchome motoSasa kama hukumu ipo si waache mda wake ukifika ataenda kuhukumiwa?
Hivi kwenye uislamu hakuna kutubu? Vipi kama alikosea angeamua kufanya hivyo akiwa hai?
Afghanistani ni wamatumbi? Sema kiwango cha ujinga kinaendana sana na dini na ushirikina.Hakuna mijitu mijinga kama miafrika unamuua mwafrika mwenzako kisa hadithi ulizosoma.kuhusu mwarabu wa kale ambaye alishafutika duniani na alishakufa siku nyingi
Ht RC na ile novena yao ni uwekezaji kwa wajinga, bila ujinga wa watanzania RC wangeisumbua serikali? Nenda kule ukristo ulikoanzia, makanisa yamefungwaMwanamke mmoja ameuawa kwa kuchomwa moto na kundi la watu katika jimbo la Niger Kaskazini mwa Nigeria baada ya kutuhumiwa kumkufuru Mtume Muhammad (S.A.W).
Polisi walilaani mauaji ya mwanamke huyo aliyetambuliwa katika vyombo vya habari vya ndani kama mchuuzi wa chakula anayeitwa Amaye .
Polisi wamesema kuwa uchunguzi unaendelea ili kuwakamata na kuwafungulia mashtaka wahusika.
Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International lilisema kuwa kufuru mara nyingi hutumiwa kutatua matokeo ya kibinafsi kaskazini mwa Nigeria.
Mnamo 2022, mwanafunzi Deborah Samuel alipigwa na kuchomwa moto akiwa hai katika jimbo la Sokoto baada ya kushtakiwa kwa kutoa maoni ya kufuru.
View attachment 3461637
Dini ya kijinga kabisaMwanamke mmoja ameuawa kwa kuchomwa moto na kundi la watu katika jimbo la Niger Kaskazini mwa Nigeria baada ya kutuhumiwa kumkufuru Mtume Muhammad (S.A.W).
Polisi walilaani mauaji ya mwanamke huyo aliyetambuliwa katika vyombo vya habari vya ndani kama mchuuzi wa chakula anayeitwa Amaye .
Polisi wamesema kuwa uchunguzi unaendelea ili kuwakamata na kuwafungulia mashtaka wahusika.
Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International lilisema kuwa kufuru mara nyingi hutumiwa kutatua matokeo ya kibinafsi kaskazini mwa Nigeria.
Mnamo 2022, mwanafunzi Deborah Samuel alipigwa na kuchomwa moto akiwa hai katika jimbo la Sokoto baada ya kushtakiwa kwa kutoa maoni ya kufuru.
View attachment 3461637
Unajificha sasa 😂😂😂hauna huo ubavuWaislam ukiwachekea watakushika hadi matako ...mimi chicheki na wapumbavu hata siku moja
Hata PakistanAfrica hatujawahi kujielewa hata siku moja. Dini ya kiislam ukiisoma vizuri hakuna mahali inakwambia umuuwe mwenzako au umdhuru kwa njia yoyote ile eti amekufuru au ameenda kinyume na maamrisho ya Allah. Unatakiwa kumnasihi,kumpa mawaidha na kumuelekeza ili umjenge kiimani aone kwa kuna Mungu aliemuumba. Matatizo ya kuuana Africa sio kwenye dini tu ni mambo mengi sana mfano makabila,siasa,mali na mambo mengne.
Mayb ungeangalia yako ,kwa sababu kila mtu anaamini kivyake ..Hauwezi kumfundisha mtu aishi vip wakati haumlishi ..Kuwa mpumbavu ni kujiona boraHt RC na ile novena yao ni uwekezaji kwa wajinga, bila ujinga wa watanzania RC wangeisumbua serikali? Nenda kule ukristo ulikoanzia, makanisa yamefungwa