Aubin Kramo amekuwa rafiki wa majeraha toka atue klabuni

Soloma TV Online

Senior Member
Joined
Jun 26, 2023
Posts
104
Reaction score
291
Mshambuliaji wa Kimataifa wa Ivory Coast anayekipiga ndani ya Timu ya Simba ya Tanzania Aubin Kramo amekuwa rafiki wa majeraha toka atue klabuni hapo, na mshangao kwa wengi ni pale anapokumbwa na majeraha kila mchezo unapokaribia. Hivi karibuni matumaini kwa mashabiki wa Simba yalianza kurejea baada ya kumuona Kramo akifanya yake mazoezini kwa kuzifumania nyavu. Lakini taarifa mbaya ilitua tena kwa mashabiki wa Simba kuwa Kramo kapata majeraha siku chache kuelekea mchezo wao wa Kimataifa wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Power Dynamos ya Zambia mchezo utakaopigwa NDOLA - ZAMBIA katika Dimba la LEVI MWANAWASA.


Swali linalowaumiza vichwa Mashabiki wa Simba ni nani anayemroga Kramo au Simba ni fungu la Kukosa?
.
.
.
.
#solomatv_updates
 
Swali linalowaumiza vichwa Mashabiki wa Simba ni nani anayemroga Kramo ?

Hivi kwani mchezaji wa soka kuumia ni hadi awe amerogwa?


Premier League injury news, 2023-24 season


Arsenal injuries
OUT: Jurrien Timber (torn ACL - out for season), Mohamed Elneny (knee)

Aston Villa injuries
OUT: Emiliano Buendia (torn ACL - out for season), Tyrone Mings (torn ACL - out for season), Philippe Coutinho (hamstring), Jacob Ramsey (foot), Timothy Iroegbunam (other). | QUESTIONABLE: Alex Moreno (hamstring)

Bournemouth injuries
OUT: Alex Scott (knee), Tyler Adams (hamstring), Dango Outtara (ankle), Marcus Tavernier (undisclosed), Ryan Fredericks (calf), Adam Smith (undisclosed), Emiliano Marcondes (ankle), Alex Scott (knee)

Brentford injuries
OUT: Ivan Toney (suspension), Josh Dasilva (hamstring), Shandon Baptiste (shoulder) | QUESTIONABLE: Thomas Strakosha (knock), Mikkel Damsgaard (knock)

Brighton & Hove Albion injuries
OUT: Julio Enciso (knee), Jakub Moder (knee)

Burnley injuries
OUT: Anass Zaroury (suspension), Darko Churilnov (undisclosed), Michael Obafemi (hamstring), Hjalmar Ekdal (knee)| QUESTIONABLE: Jordan Beyer (thigh), Victor da Silva (knee).

Chelsea injuries
OUT: Reece James (thigh), Christopher Nkunku (knee), Carney Chukwuemeka (knee), Wesley Fofana (torn ACL), Benoit Badiashile (thigh) Armando Broja (knee), Trevoh Chalobah (thigh), Marcus Bettinelli (undisclosed)| QUESTIONABLE: Romeo Lavia (fitness)

Crystal Palace injuries

OUT: Michael Olise (thigh), Matheus Franca (back)

Everton injuries
OUT: Alex Iwobi (hamstring), Seamus Coleman (knee), Dele Alli (groin), Andre Gomes (calf) | QUESTIONABLE: Youssef Chermiti (fitness), Jack Harrison (groin), Dominic Calvert-Lewin (eye)

Fulham injuries
None.

Liverpool injuries
OUT: Virgil van Dijk (suspension) | QUESTIONABLE: Ibrahima Konate (undisclosed), Thiago Alcantara (groin), Trent Alexander-Arnold (hamstring)

Luton Town injuries
OUT: Jordan Clark (undisclosed), Gabriel Osho (knee), Dan Potts (undisclosed)

Manchester City injuries
OUT: Kevin De Bruyne (hamstring - out until December/January), John Stones (thigh)

Manchester United injuries
OUT: Raphael Varane (undisclosed - out ‘weeks’), Mason Mount (thigh), Tyrell Malacia (undisclosed), Tom Heaton (calf), Amad Diallo (knee), Kobbie Mainoo (ankle), Luke Shaw (undisclosed), Tom Heaton (calf)

Newcastle United injuries
OUT: Emil Krafth (knee), Javi Manquillo (groin), Joe Willock (thigh), Sven Botman (ankle) | QUESTIONABLE: Javier Manquillo (groin)

Nottingham Forest injuries
OUT: Scott McKenna (hamstring) | QUESTIONABLE: Ola Aina (groin), Wayne Hennessey (knee), Orel Mangala (undisclosed), Danilo (thigh)

Sheffield United injuries
OUT: Rhian Brewster (thigh), John Fleck (leg), Ismaila Coulibaly (knee), Rhys Norrington-Davies (thigh), Daniel Jebbison (groin), Ben Osborn (groin), Max Lowe (ankle).

Tottenham Hotspur injuries
OUT: Rodrigo Bentancur (torn ACL), Ryan Sessegnon (thigh), Bryan Gil (groin), Alfie Whiteman (ankle)

West Ham United injuries
OUT: Tomas Soucek (concussion), Konstantinos Mavropanos (back)

Wolves injuries

OUT: Joseph Hodge (thigh)
 
Ujinga wa kifkra kuamini kwamba mchezaji akiumia amelogwa.Neymar ni mchezaji anayeumia mara kwa mara na yeye kalogwa?Hizi fikra za karne za ujima zinapewa nguvu na wachambuzi hohehahe wasiojua lolote kuhusu mpira wa miguu.Hii dhana ina madhara makubwa kwenye mpira wetu.Elimu,Elimu,na Elimu.
 


Asante sana Kaka Kuna Lile Jamaa moja PUMBAFU sana lenye linapenda Kuleta Mambo ya UCHAWI hapa JF.

HAWA WANAAMINI SANA USHIRIKINA

Asante kwa Darasa
 
Asante sana Kaka Kuna Lile Jamaa moja PUMBAFU sana lenye linapenda Kuleta Mambo ya UCHAWI hapa JF.

HAWA WANAAMINI SANA USHIRIKINA

Asante kwa Darasa
Anatuchafulia imeji...wa ajabu sana...
 
Swali la kkujiuliza ni kama alikuwa na historia ya kuwa majeruhi MARA KWA MARA huko alipotoka. Na kama jibu ni NDIO, kwanini Simba iliamua kurisk na kumsajili..?? Na kama jibu ni HAPANA, kwanini toka amekuja anapata majeraha kila inapokaribia mechi..??
 
Aliyemuondoa Peter banda simba kwa majeraha ndio anayemtesa kramo.
 
Majeraha ni jambo la kawaida kwa mchezaji, hasa anapojaribu mambo kwa bidii kubwa huku mwili na misuli yake ikiwa haipo tayari.

Show me the way ni muhanga wa hili jambo, Cha msingi Kramo atibiwe atibike hata kama ni msimu wote uishe sawa, kuliko ingia toka ingia toka
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…