Aucho aliwakosea Nini hapo TFF?

Aucho aliwakosea Nini hapo TFF?

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
TFF Huwa mnataza mpira mkubwa wapi
Yaani kwenye league yetu hakuna kiungo mkabaji mwenye sifa zote kama Aucho
Sawa mmemnyina tuzo hata kwenye majina ya walioshindania tuzo hayumo.
Aucho ni mkabaji, anataka pasi elekezi, ana energy
Bado mnamchukulua poa.
Me naamini mna matatizo binafsi nje ya mpira ndo maana kwenye tuzo hata hamtaki kumtaja
 
Hajaorodheshwa wala kupewa tuzo kwasababu Aucho hana nidhamu ya mpira anawaumiza sana wachezaji wenzake na anaongoza kwa kadi za njano.

Mpira unahitaji nidhamu ya uchezaji
 
Zidane alipewa Tuzo ya Uchezaji Bora kombe la Dunia huku kampiga kichwa Materazi hawa TFF waongo sana wakati Aucho asipokuwepo Yanga inaonekana ina gepu kubwa harafu wao wanamchukulia wa kawaida..
 
Wamechukua tuzo akina Ramos, Tevez, Gatuso,Zambrota, joe Allen n.k
 
Zidane alipewa Tuzo ya Uchezaji Bora kombe la Dunia huku kampiga kichwa Materazi hawa TFF waongo sana wakati Aucho asipokuwepo Yanga inaonekana ina gepu kubwa harafu wao wanamchukulia wa kawaida..
Zidane alicheza ligi ya bongo kwani?
 
TFF Huwa mnataza mpira mkubwa wapi
Yaani kwenye league yetu hakuna kiungo mkabaji mwenye sifa zote kama Aucho
Sawa mmemnyina tuzo hata kwenye majina ya walioshindania tuzo hayumo.
Aucho ni mkabaji, anataka pasi elekezi, ana energy
Bado mnamchukulua poa.
Me naamini mna matatizo binafsi nje ya mpira ndo maana kwenye tuzo hata hamtaki kumtaja
Aucho ni Mcheza Judo, kwenye mpira wa Miguu anafosi hilo halihitaji akili kulitambua. Anaonekana mkali kwakuwa anacheza Ligi za mpesa ambazo waamuzi wametiwa mfukoni.
 
Back
Top Bottom