Aucho kutua Simba dirisha dogo

Cosovo

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2018
Posts
667
Reaction score
1,810
Habari kutoka vyanzo vya kuaminika kutoka Uganda zinasema kiungo anayekipiga Yanga huenda akajiunga na Simba dirisha dogo

Pia habari zinaonyesha kuwa mkataba aliosaini kunako clab ya Yanga ni wa kubumba kama aliowahi kufanyiwa Benard Morison

Habari zaidi zinakuja
 
Hakika kilicho tokea kwa BM3 sita shangaa kikitokea kwa huyo mganda
 
Cosovo ze Canadian wataisoma namba
 
Aucho kutua msimbazi ni suala la muda tu. Tatizo utopolo wababaishaji sana, wamejibainisha kuwa ni timu inayoendeshwa kwa propaganda sio kiuweledi.

Aucho plus Chama anarudi mbona litakufa jitu. Naomba wamchukue na Bangala yule kiwango chake ni cha kuchezea simba sio utopolo.
 
Kolo msimu huu mtateseka sana na tabiri uchwara
Haya majamaa ipo siku watu watashikwa na hasira wakinukishe. Hii ni dharau sana kwa yanga. Na yanga wasiposimama kidete wakabadilisha mbinu za uongozi haya majamaa yatawasumbua sana. Kwenye usajili yasajili magarasa yakiona yanga ana wachezaji wazuri yanawataka tena kimafya.
 
na walivyo na roho mbaya zaidi wakisikia tetesi za yanga kumfatilia mchezaji wa simba wanapanic vibaya mno.

Ila hawajui tu bila yanga,simba si lolote wala chochote
Hii timu ikiona mchezaji mzuri wa yanga wanamtamani. Kwa nn wasitamani wachezaji wa timu zingine kama Esperance, Kaizer Chiefs, Al Ahly, Mazembe n.k wao ni yanga tu. Yana roho mbaya yanataka Yanga ife ili yatawale soka la Tz
 
na walivyo na roho mbaya zaidi wakisikia tetesi za yanga kumfatilia mchezaji wa simba wanapanic vibaya mno.

Ila hawajui tu bila yanga,simba si lolote wala chochote
Hawa jamaa bila umafia hawawezi kubeba ubingwa. Michezo yao michafu ilishagundulika hawana jipya tena. Wanadhani wakiiua Yanga watakua imara zaidi.

Wanahangaika kukiua kikosi kizuri cha yanga cha sasa. Na yanga wasipoacha ile janja janja kwenye mikataba watasumbuliwa sana na kubaki na magarasa.
 
Yanga tatizo ni uongozi tu. Sijui lini tutapata viongozi imara sio hawa wa kusajili hadi msemaji aliyetutusi na kutudhalilisha kila kukicha
 
Yanga tatizo ni uongozi tu. Sijui lini tutapata viongozi imara sio hawa wa kusajili hadi msemaji aliyetutusi na kutudhalilisha kila kukicha
Hiyo ndo kansa imeitesa yanga kwa miaka mingi. Wapigaji wengi sana.

Suala la manara ni jambo lisiloingia akilini. Jamaa kashiriki kwenye umafia na hata suala la morison yeye na marehem Hans pope (R. I. P) ndo engeneers.

But all in all adui teka watu wake ujue mbinu zake. Hata suala la kuhonga timu pinzani ili ikamie ndo kalitoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…