Aucho kutua Simba dirisha dogo

Pia tetesi zinasema, Huu usajili wa Aucho kwenda Simba umetokana na sapoti ya Msemaji wa Yanga mwenye uanachama wa Simba.
 
Mimi nilijua tetesi kumbe kweli mlikuwa mnahonga timu pinzani zikamie simba?
 
Aucho ana mkataba wa miaka miwili
 
Kwani Morrison ilikuwa je?
Si alipewa mkataba wa miezi 6?
hata huyo aucho inawezekana kapewa mkataba wa miezi 6
Mi sisemi kitu nyie endeleeni kuishi kwa kukariri mambo ya kipuuzi.
 
Katika mpira lolote laweza tokea kikubwa uwe na hela
 
Kumbe kweli mnahonga timu pinzani zitukamie.

Vitimu vyenu mlivyovihonga vimekula umeme mfululizo vimetulia
 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…