Kampuni inataka kuuza mali mbalimbali zikiwemo nyumba, samani, mitambo, magari, mashamba, etc. Ili kuuza inahitaji kupata Kampuni ya udalali yenye uzoefu katika shughuli hizi iliyopo jijini Dar es Salaam Tanzania. Kampuni inapenda kupata offer toka kwa madalali angalau wanne (4) ili iweze kuamua.
Nitafurahi kupata orodha ya madalali/makampuni hayo na mawasiliano yao.
Asanteeeee