Kuna mtaalam ya hayo madude anapatikana Dar, magomeni-mwembe chai anaitwa babu, mtafute
Njoo kwenye thread ya magari hayo nimemutagJamani naweza pata spea za gar hyo audi a3 hatchback... Hpa tanzania?... Nataka kuinunua ila cjajua uhakika wa kupata spea zake
Sent using Jamii Forums mobile app