Kenned elisante
Member
- May 23, 2018
- 70
- 19
Nataka hii gari January. Ukiiuza nitafutie kama hii January.Audi A4
Year---2005
Engine---1980cc
Drive---2wd
Other option---AW FOG L-SEAT L-SEAT
••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••
BEI---12.5mil
{unaweza kulipia awamu mbili}
malipo ya kwanza---6.7mil
[emoji338][emoji336]0715558258View attachment 945529View attachment 945530View attachment 945531View attachment 945532
Ndio ukifanya malipo unachukua chombo... Malipo hayo mpaka usajili na kila kitu.... Baada ya mwezi unamalizia malipo yaliobaki... Mileage 56,000kmNot registered? Ukifanya hiyo down payment unachukua chombo? Malipo yaliyobaki yakamilike baada ya muda gani? Milage inasoma ngapi?
Naomba namba yako...Nataka hii gari January. Ukiiuza nitafutie kama hii January.