sheby blogger
Member
- Dec 18, 2017
- 23
- 22
Ndio hiyohiyo A5 2.7 nnayoizungumzia3.0 au 4.2
Hapo ungeweka unayoipenda zaidi na specs zake zote
Halafu tunaweza kuchangia, maana ipo pia A5 2.7
Sent from my SM using Tapatalk
Unaweza kujua bei yake mpka kufika mikononi mwangu itacost bei gani?£6000 au chini kidogo
Hiyo ya 2.7
Na hapo ipo UK haijasafirishwa bado
Sent from my SM using Tapatalk
Bro....si uingie Be Forward n the likes ucheki CIF then nenda TRA kwenye calculator cheki kodi then jumlisha......mbona simpo tu.Unaweza kujua bei yake mpka kufika mikononi mwangu itacost bei gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Freebasic hana Mb....Bro....si uingie Be Forward n the likes ucheki CIF then nenda TRA kwenye calculator cheki kodi then jumlisha......mbona simpo tu.
Ila mind you, Audi za 2008 na 2009 kodi yake si kitoto,
NadhaniFreebasic hana Mb....
Bro....si uingie Be Forward n the likes ucheki CIF then nenda TRA kwenye calculator cheki kodi then jumlisha......mbona simpo tu.
Ila mind you, Audi za 2008 na 2009 kodi yake si kitoto,
Smh!
So what now?
Labda umsaidie ipungue.....So what now?
Hapana kwa kweli siwezi kujuaUnaweza kujua bei yake mpka kufika mikononi mwangu itacost bei gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah, anaulizia gari akose MB!Freebasic hana Mb....