hii niliiagiza mwenyewe befowardGari yako ni mbovu.
Duuh Golf itumie kiasi hicho cha mafuta si balaa hilo Mkuu hizi mambo huwa mnazitoa wapi mnakuja kutisha watu hapa...basi we have different experience
but ata vw golf ambazo zinaonekana ni ndgo tu mfano vw golf gti, gt au tsi unakuta fuel consumption kwa mjini ni 5km/l up to 7km/l
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Kwani ukiagiza mwenyewe haiwezi kuwa Mbovu mkuu...hii niliiagiza mwenyewe befoward
haikua na shida wala
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
basi we have different experience
but ata vw golf ambazo zinaonekana ni ndgo tu mfano vw golf gti, gt au tsi unakuta fuel consumption kwa mjini ni 5km/l up to 7km/l
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
basi tufanye ilikua mbovu mm sijaongelea highway naongelea town tripNlitaka kupita shwaaa lkn hapa hapana
5km/L ?? VW Golf GTI 1980 cc hell no
Mkuu Kama gari yako mbovu katengeneze usi generalize
Hii hatchback ungejua imepata tuzo nyingi saana Europe
-performance
-stability
-comfortability
-Reliability
Tena TSI nyingi ni more fuel efficiencies 1300 cc zinaenda mpk 16km/L