Choro nondo
Member
- May 23, 2018
- 15
- 6
Habari zenu ndugu zangu ..naomba kuuridha kwakuwa mie Mgeni Wa magari nimetokea kuipenda Audi TT ya Mwaka 2011 cc1989 kama sikosei location IPO Yokahama Japan hii GARI adi inafika Tanzania port ni jumla ya $9884 swali langu.hii GARI I think ni sports car cause speed yake ad 260 ulaji wake Wa mafuta Na spea zake zinapatikana hapa nyumbani?Tanzania