Audio: BBC wafanya Interview na Diamond kwa kiingereza

Audio: BBC wafanya Interview na Diamond kwa kiingereza

kajitahidi kweli, hata sikutegemea

tution ya zari matunda yake yanaonekana sasa
 
Mbona huyo english kitambo anainyaka chanel zote za nje huwa wanamuhoji kwa kizungu
 
kijana kajitahidi sana, biiiiig improvement yaani
hapa ndio kijana huyu anapowaacha wengi nyuma kiukweli anaonekana ni mtu wa juhudi sana...,watu wa levo ya maisha aliyopitia awali na elimu aliyonayo na alipoipatia (Tandale) hawawezi hata dkk kuongea ktk interview na mzungu kwa levo ile

BiG uP DaI ...,, I can see u there .... the sky is your limit kijana!
Go Go Go...
 
wakuitwa??
 

Attachments

  • 1432243891128.jpg
    1432243891128.jpg
    18.5 KB · Views: 1,599
Wow mtoto wa Tandale

Nimependa interview yako sanaaaaaaa,

Unazidi kupanda D

Hadi raha, wewe ni wakuigwa kwa wanaotaka panda
 
Back
Top Bottom