Audio: Ommy Dimpoz akilia wakati anaimba LIVE 'Nani kama Mama' na sababu za kulia (kwenye U Heard)

Audio: Ommy Dimpoz akilia wakati anaimba LIVE 'Nani kama Mama' na sababu za kulia (kwenye U Heard)

Nukta5

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2014
Posts
1,182
Reaction score
1,288
Weekend iliyopita Escape One kulifanyika show iliyowakutanisha mastar wakubwa ndani na nje ya TZ kama Christian Bella, Ruby, Ali Kiba, Kassim Mganga, Ommy Dimpoz,Msami, na Alicious kutokaKenya, WOTE kwenye stage moja. Moja ya hits ambazo zimependwa SANA ni 'Nani Kama Mama'- collabo ya Ommy Dimpoz na Christian Bella. Soudy Brown alikuwa mmoja ya watu waliokuwa kwenye show hiyo Escape 1, akamuona Ommy akitokwa machozi wakati wanaimba wimbo huo kwenye stage..

Ommy
akashindwa kuendelea akashuka, Soudy akamfuata kujua tatizo ni nini? Dimpoz amesema aliandika wimbo huo kwa sababu ya kumbukumbu ya kifo cha mama yake aliyefariki miaka 15 iliyopita, alimuacha akiwa mdogo sana.. wakati anaimba wimbo huo alikumbuka mapenzi ya mama akatamani kama mama yake angekuwepo.. ni hicho tu kilichomtoa machozi.
 

Attachments

Nimejiskia huzuni baada ya kuisikiliza japo mama yupo, Mungu awape nguvu walioondokewa na mama zao
 
ooooooooh,maskini weeeee pole yake,mwenyezi mungu kauli thabit ya rabb..
 
Inaumiza sana. Huyu kijana ni mwanamuziki mzuri sana, tatizo ni nyota tu
 
R.I.P mama zetu wote waliotutoka mbele yao nyuma yetu,kazi ya MUNGU haina makosa
 
kama Mungu amekujalia una wazai wote hata kama ni mmoja basi ni wakati wako kuwafariji ambao hawana kwa namna moja au nyingine kwani itasaidia kuwafariji
 
rest in peace my lovely mama, Libu. Nani kama mamaa,Nani kama mama ahaaa
 
R.I.P Mama yangu kipenzi sisi tulikupenda lakini Mungu alikupenda zaidi..amina
 
Back
Top Bottom