audio speeches za J.k Nyerere

Status
Not open for further replies.

princedy

Member
Joined
Nov 26, 2008
Posts
50
Reaction score
4
wadau naomba yeyote mwenye audio speeches za mwalimu aniambie zinapatikana wapie au kama unazo naomba nipatie tafadhali.waweza wasiliana nami hapa eddferd@yahoo.com
 
Mkuu,

Zinapatikana TBC Radio pale Pugu Road. Nadhani Bei ni TZS katika ya 1000 mpaka 1500 kwa Cassette.
 
Baadhi ya hotuba zinapatikana ktk nukta77.blogspot.com, utazipata au mwombe host wa hiyo blog anaweza kukutumia ktk sanduku lako la barua pepe.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…