AUDIO ya kichekesho cha mkurya aloye wrong number kwa demu

Squidward

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2014
Posts
7,828
Reaction score
9,546
habari. kuna audio flani hivi nliwahi kiskiliza mwaka juzi ya kichekesho cha mkurya aliyewrong number kwa mdada asiyemjua then akamtongoza akakataliwa akaambiwa akate simu akakataa akaanza kutukanana nae kwa hasira, ni kichekesho flani hivi kitamu sanaaa the way wanavoongea dah hatarious. jamaniee mwenyenacho anitumie please
 
Kutukananae umeona ni kichekesho.......itakuchukuwa miaka mingi ku continue ukiendelea ku like vichekesho vya matusi.
 
Kutukananae umeona ni kichekesho.......itakuchukuwa miaka mingi ku continue ukiendelea ku like vichekesho vya matusi.

ngoja nkiipata nitaiweka hapa uskie then utaelewa what am talking mkuu
 
Ushafimbaaaaa msella Wewe....ckuwouwiiii hum[emoji12] !!!!!!?unapasaa sautiii[emoji23]
 
Ushafimbaaaaa msella Wewe....ckuwouwiiii hum[emoji12] !!!!!!?unapasaa sautiii[emoji23]

hahahahah mkuu mule mule yani. Please itupie bas nidownload dah!
 
Mkuu habari, japo ni miaka mingi ila nataka niulize tu, vp uliipata hiyo Audio? Kama uliipata na bado unayo naomba unifanyie wema kwa kushare na mm. Shukrani.
 
Nyie ndiyo great thinkers?
 
Tena haswa
Basi sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…