Audios Na Vitabu Vya Motivational Na Kukusaidia Katika Maisha Sasa Vinapatikana

Joined
Jul 14, 2008
Posts
1,820
Reaction score
1,032
Wazalendo na Wana JF;

Nimeletewa list ya Vitabu na Audios na mdau na nimeona ni vizuri kushare.

Naomba ninukuu ujumbe wake hapa:




Kama utakuwa na mahitaji yoyote, tafadhali ni-PM nitakutumia local contacts ili uweze kuvipata.
 

Attachments

Mkuu thanks kwa hizi taarifa!..Je unaweza kujua bei ya kitabu unachokitaka kabla hujaagiza?!..Mfano vitabu hivi viwili
Emotional Intelligence (Why it can matter more than IQ)-Daniel Goleman
When I say No, I feel guilty (Based on assertiveness training)-Manuel J. Smith
 

Prices zimo, in GBP

Emotional Intelligence (Why it can matter more than IQ)-Daniel Goleman
- approx. Tsh 62,000
 
Prices zimo, in GBP

Emotional Intelligence (Why it can matter more than IQ)-Daniel Goleman
- approx. Tsh 62,000

LazyDog

Asante kwa price information. Nilivyofungua hizo attachment sikuangalia prices, nimeona vizuri sasa.
Umeshavisoma hivyo viwili ulivyolist wewe? 7 Habits?
 
Sijafanikiwa kupata "7 Habits of Highly Effective Marriage"

Hivi sasa narudia kusikiliza "100 ways to motivate yourself" by Steve Chandler
The Author is very good
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…