consigliori
JF-Expert Member
- Mar 29, 2010
- 392
- 89
Kwa kawaida NGO lazima ziwe audited. Donor yoyote hawezi akakupa pesa bila kuonyesha Audit reports. Usually kwa miradi ya NGOs inatakiwa iwe audited annually lakini inategemeana na donor requirements.
audit ni mandatory na kama unapokea USG money hiyo haina mjadala
swali ni kuhusu anaye-audit, sidhani kama ni CAG, najua akina PWC, Ernst and Young, deloiite hufanya hizo audit