AUFAFANUZI KUAGIZA TV KWA BEI YA VIWANDANI

Uliulizwa na Nani? Wapi?? Kwanini majibu haya usiyatoe huko ulipoulizwa unakuja kuleta hapa?? Wewe agiza mzigo ukifika tz tuwekee ofisi yako ilipo tuje kununua
 
Napata shida san kuamini ubora wa hizo tv
Mtoa mada unataja tu size ya kioo lakini husemi tech iliyotumika kutengeneza kioo hicho, labda kama ziwe ni lcd tech
 
Umeweka bei ya tv pamoja na usafiri,mbona bei ya ushuru TRA hujaweka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…