Elections 2010 AUGUST 14 inaweza kuwa NEW Begining or end of era

Elections 2010 AUGUST 14 inaweza kuwa NEW Begining or end of era

Bongolander

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2007
Posts
5,067
Reaction score
2,210
Wakuu tarehe 14 kuna kikao muhimu cha Chama. Dalili zinaonesha kuwa kuna-fouls zinapangwa kuchezwa ili kuwanufaisha baadhi ya watu walioshindwa kwenye kura za maoni, na kuwakwamisha wale wanaojaribu kutumia alternative ways za kutibitisha kuwa wao ndio wenye stahili.

Kubwa zaidi ni kuwa kura za maoni Zanzibar zimefanyika, na marekebisho ya katiba ni kama yametandika njia ya Zanzibar kujitoa kwenye jamhuri ya Muungano.

Nina mashaka sana na uwezo wa kufanya maamuzi magumu kwa watakokuwa kwenye kikao. Kwa kuwa sauti zinazosikika kabla ya kikao ni kuwa kuna baadhi wanataka kutumia weakness ya chama kutembeza ajenda zao na kufanikiwa, na wengine wanataka kutumia weakness hizo kustrengthen defence kutokana na hatari yao kisiasa na hata kwenye mkono wa sheria.

Kuna mawili yanaweza kutokea, inaweza ikawa ndio end of era ya umoja wa watanzania, Yaani barabara ya kuvunja muungano itasafishwa, na misingi Muhimu iliyowekwa na TANU na ASP ikawekewa mabomu. Tarehe 14 si mbali. Awamu ya nne is about toredifine Tanzania.
 
Here it is, inapofika jumatatu asubuhi kuna uwezekano kuwa siku hii ita-define uchaguzi wa 2010 na utawala wa awamu ya nne.
 
Back
Top Bottom