Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 3,477
- 5,283
- Thread starter
-
- #21
Nimeiona tittle ya hiyo thread sijafungua 🤣🤣🤣Hizi ndo thread sasa za kukutana nazo asubuhi, thread inashtua akili. 🤝
sio asubuhi asubuhi "nimeipiga hadi kakataa tena huku anasema nnalo likubwa kubaaaf"
Uzi umepoa nimeona bora iwe wikiWiki mbali, challenge inatakiwa kua na updates za jioni kila siku mida ya kufunga hesabu.....sahivi ndo tunatafuta jioni hesabu
watu wapo kuzisaka sahivi 😁Uzi umepoa nimeona bora iwe wiki
Na hapo hamgegede warembo kama mzabzab🤣🤣🤣Yaaaani hapa mshahara wa July nimeupokea ushaisha 🥺💔
August itakuwa ya moto
Manifestation of money,
Money comes to me easily
So poa mkuu 😂Na hapo hamgegede warembo kama mzabzab🤣🤣🤣