TANZIA Augustino Mrema, Mwenyekiti wa chama cha TLP afariki dunia

Alkuwa mpinzani wa kweli miaka ya 90 ila baadae akaja kugeuka msaliti.

Poleni wafiwa .
Alikuwa upinzani kwa KAZI maalum. Hakuwa mpinzani wa kweli. Na mazishi yake atazikwa kama ifisa Usalama mstaafu wa cheo cha juu pia. Ni shushushu mbobezi.
 
Alioa Kwa sababu ya mtu wa karibu wa kumtunza lakini si Kwa sababu za kingono, alikuwa tayari ni mgonjwa.
ukimuajili mtu anaweza akakutunza kuliko uliyemuoa mbona?
 
Apumzike kwa amani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…