Aungwe Mkono Askofu Mwingira kukemea Maovu

Aungwe Mkono Askofu Mwingira kukemea Maovu

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Wamesikika watumishi wa Mungu wakikemea maovu hadharani. Kasikika Mzee wa Upako, Askofu Shoo, Askofu Mwingira na wengi wengine:

Maaskofu wataka haki kwa kila mtu

Kati ya binadamu na Mola, sifa na heshima zote ni kwa Mola:

IMG_20211227_165419_133.jpg

Wakanwe hadharani hawa wenye kuwakilisha maslahi yao:

IMG_20211227_112550_315.jpg

Vita hivi si vya askofu Mwingira wala maaskofu hawa peke yao:

IMG_20211211_233507_327.jpg

Wapenda haki na madhehebu nyingine kwa kusimama na askofu Mwingira na pamoja na wapigania haki kutaliokoa taifa hili.

Sauti za kila mmoja ni muhimu sana sasa kwa Askofu Mwingira na mustakabala mzima wa haki nchini.

Katika hili dhidi ya awaye yote, haki na usawa ni bora zaidi.
 
CDM mumeshaacha agenda ya mbowe na ugaidi Sasa mumerukia mambo ya Mwingira

Chadema waisoma wapi hapo bidada?

Ila kama haki = Chadema?

Basi karibu nyumbani.
 
Mkuu Yoda askofu keshalianzisha. Kwa kumwunga mkono tu, kazi itaendelea.

Kukaa kimya (kusubiri kula matunda) kwa wadau kunampa nafasi kamanda Muliro kumpiga kufuli askofu na hata kuhitimishwa kwa safari hii yenye matumaini.

Kupaza sauti kutamaanisha kushiriki katika kuyatafuta matunda. Kamanda itabidi kuufyata na safari kuendelea.

Nini sehemu yetu katika harakati hizi? Ulaji wa matunda tu?
 
Tuzoee tuu hatunaga focus

Focus yetu iko kwenye agenda. Haki, uhuru, usawa na demokrasia.

IMG_20211223_225230_042.jpg

Huyo anaona hoja yetu. Tunaiunga mkono hoja yake ila uroboto, uhuni na utapeli wenu huko huko.

Focus yetu siyo yenu. Vipi hata kudhani kujimilikisha au kutaka kutusemea kwenye focus zetu?
 
Mwingira asibugudhiwe na kusema ukweli.

Simbachawene ache unafiki
Wamesikika watumishi wa Mungu wakikemea maovu hadharani. Kasikika Mzee wa Upako, Askofu Shoo, Askofu Mwingira na wengi wengine:

Maaskofu wataka haki kwa kila mtu

Kati ya binadamu na Mola, sifa na heshima zote ni kwa Mola:

View attachment 2059509

Wakanwe hadharani hawa wenye kuwakilisha maslahi yao:

View attachment 2059504

Vita hivi si vya askofu Mwingira wala maaskofu hawa peke yao:

View attachment 2059508

Wapenda haki na madhehebu nyingine kwa kusimama na askofu Mwingira na pamoja na wapigania haki kutaliokoa taifa hili.

Sauti za kila mmoja ni muhimu sana sasa kwa Askofu Mwingira na mustakabala mzima wa haki nchini.

Katika hili dhidi ya awaye yote, haki na usawa ni bora zaidi.
 
Mwingira asibugudhiwe na kusema ukweli.

Simbachawene ache unafiki

Kwa maneno tu JF itakuwa ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa. Kwa maneno tu JF Mwingira atabugudhiwa sana na hata kesi ya uhaini itamhusu.

Kwa kutonyamaza na kuonyesha mshikamano na Mwingira, Simbachamwene ataufyata.
 
Haya HUYU mbunge wa mpwapwa Sijui kwanini tunamchelewesha kuomba msamaha kama jobo
 
Hakuungwa mkono askofu Mwingira. Bashiru naye katelekezwa.

Tuko kama tumelogwa.
 
Back
Top Bottom