Wamesikika watumishi wa Mungu wakikemea maovu hadharani. Kasikika Mzee wa Upako, Askofu Shoo, Askofu Mwingira na wengi wengine:
Maaskofu wataka haki kwa kila mtu
Kati ya binadamu na Mola, sifa na heshima zote ni kwa Mola:
View attachment 2059509
Wakanwe hadharani hawa wenye kuwakilisha maslahi yao:
View attachment 2059504
Vita hivi si vya askofu Mwingira wala maaskofu hawa peke yao:
View attachment 2059508
Wapenda haki na madhehebu nyingine kwa kusimama na askofu Mwingira na pamoja na wapigania haki kutaliokoa taifa hili.
Sauti za kila mmoja ni muhimu sana sasa kwa Askofu Mwingira na mustakabala mzima wa haki nchini.
Katika hili dhidi ya awaye yote, haki na usawa ni bora zaidi.