Aunt Ezekiel anamaanisha nini kuonesha hii alama?

We ni mdaku unaunga unga habari kutuletea story humu... mtu akifanya kitu kidogo tu cha kawaida basi tayari kashakuwa illuminati
 
Wabongo hata kama ukifanya kitu bila kukusudia wanakulebo hivyo, madhali wewe ni celebrity!
Je tutafika?
 
Reactions: 247
Mmmmmmmh!!! Wakati mwingine unaweza kufanya ishara fulani pasipo kujua maana yake halisi, sasa sijui kama muhusika anaelewa maana yake au ni pozi la kwenye picha!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…