Aunt Ezekiel apunguza Mwili ili kuendana na Mpenzi wake

Aunt Ezekiel apunguza Mwili ili kuendana na Mpenzi wake

proxy

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
1,479
Reaction score
1,348


Staa wa filamu, Aunt Ezekiel aliye katika mapenzi na Dansa Moses Iyobo, ameamua kukimbilia gym kwa ajili ya kupunguza unene unaomuandama ili kulinusuru penzi lake.

Akizungumza na chanzo cha uhakika, Aunt amesema ameanza mazoezi ya nguvu kila asubuhi ili aweze kupunguza mwili aendane na mpenzi wake kwani mwili wake ni mkubwa kuliko wa mwenzie.

“Daah, nimeona nitapoteza penzi langu bure, nimekuwa mnene kumpita baby kitu ambacho siyo sawa, nilikuwa na kilo 87, hivi sasa nimepunguza kilo sita,” alisema.
 
[emoji23][emoji23]wakati huyo moze saivi wanafanana
ana paja kama la aunty
amekosa Mvuto wa dancer kabisa
 
Bora basi mambo ya kibonge chepesi tupa kuleeeee
 
Aseme tu Magufuli kabana hela hawana hela ya kula mjin hapa! wasisingizie upuuzi wao
 
[emoji23][emoji23]wakati huyo moze saivi wanafanana
ana paja kama la aunty
amekosa Mvuto wa dancer kabisa

Aiseee kila nilipokuwa nikimtazama nilikuwa naona kuna kitu hakipo sawa, leo umenipa jawabu... mwili waje umekukosa muonekano wa ki dancer
 
Aiseee kila nilipokuwa nikimtazama nilikuwa naona kuna kitu hakipo sawa, leo umenipa jawabu... mwili waje umekukosa muonekano wa ki dancer
Sio muonekano tu hata ushirikiano umekosa hapigi tena vle vitu kama ngololo na sangolo
 
Katika mambo yaliyowahi kunishangaza duniani na hili la Aunt bingwa wa kuwachuna mapedeshee kuangukia kwa Densa. Kweli mapenzi hayana formula
kamuwinda diamond weee kachemsha sa ndo kujifariji akaona bora ajiegeshe kwa mtu wa karibu wa diamond....
 
Back
Top Bottom