[emoji23][emoji23]wakati huyo moze saivi wanafanana
ana paja kama la aunty
amekosa Mvuto wa dancer kabisa
Sio muonekano tu hata ushirikiano umekosa hapigi tena vle vitu kama ngololo na sangoloAiseee kila nilipokuwa nikimtazama nilikuwa naona kuna kitu hakipo sawa, leo umenipa jawabu... mwili waje umekukosa muonekano wa ki dancer
Mpe mbinu ya kupunguza umri mkuu, hawa bongo movie hawachelewiApunguze Na umri wake pia
kamuwinda diamond weee kachemsha sa ndo kujifariji akaona bora ajiegeshe kwa mtu wa karibu wa diamond....Katika mambo yaliyowahi kunishangaza duniani na hili la Aunt bingwa wa kuwachuna mapedeshee kuangukia kwa Densa. Kweli mapenzi hayana formula
ila aliwahi kuliwa na diamond kabla hajaja kwa iyobokamuwinda diamond weee kachemsha sa ndo kujifariji akaona bora ajiegeshe kwa mtu wa karibu wa diamond....